Wednesday, June 13, 2012

Monday, June 11, 2012

www.raitonambele.blogspot.com

Wazee wa kanisa wakiwa Mbagala

Baba mchungaji Manford Kijalo wa chuo kikuu cha Tumaini akiwa na baadhi ya wazee wa kanisa




Watoto hawa wakifurahia uumaji wa Mungu na mazingira tulivu Bwana aliyoyafanya, hakika wamependeza

Kabogolo akiwa ofisini akifanya maombi kabla ya kuanza kazi. Hapa ni Teofilo Kisanji University Mbeya, ni vema kuanza na Bwana katika kila jambo tulifanyalo.


Mh! dogo ameweka pozi la hatari katika kufuatilia maonyesho ya watoto wenzake juu ya kushika maneno ya Biblia.Hapa ni Mwendapole Church of God of Prophecy


Kabogolo akiwa nkwenye Mkutano wa taifa The Church of God of Prophecy Juni 2011

Hawa nao hawakuwa nyuma katika kushuhudia namna mambo yalivyokuwa yakiendelea mkutanoni hapo
                                                Mambo haya yalitokea Mbalizi August 2012


                                Hawa nao katika utaratibu uleule wa kumsifu Mungu yaani we acha tu!