Watoto hawa wakifurahia uumaji wa Mungu na mazingira tulivu Bwana aliyoyafanya, hakika wamependeza
Kabogolo akiwa ofisini akifanya maombi kabla ya kuanza kazi. Hapa ni Teofilo Kisanji University Mbeya, ni vema kuanza na Bwana katika kila jambo tulifanyalo.
Mh! dogo ameweka pozi la hatari katika kufuatilia maonyesho ya watoto wenzake juu ya kushika maneno ya Biblia.Hapa ni Mwendapole Church of God of Prophecy
No comments:
Post a Comment